Video

Nabii Wa Karne Ya Ishirini, ambayo ilitolewa kwa rangi, inakuleta katika nyumba ya Ndugu Branham kwa mahojiano ya kibinafsi katika 1953.

Uamsho Wa Chicago ulipigwa picha huko Chicago, Illinois mnamo Agosti, 1953.

Kilindi Kinaita Kilindi ilipigwa picha katika Ukumbi wa Katiba huko Washington, D.C. mnamo Juni ya 1954.