Haja Ya Maombi

Naam, tunaamini kwa dhati ya kwamba Yesu Kristo yeye yule aliyefanya miujiza miaka elfu mbili iliyopita anaweza kufanya vivyo hivyo leo. Tafadhali jaza fomu iliyo hapa chini kama ungetutaka tuungane nawe katika maombi. Tunaomba kwamba ututumie ushuhuda wako wakati Mungu akijibu.


Marko 16:17-18

Na Ishara Hizi Zitafuatana Na Hao Waaminio; Kwa Jina Langu Watatoa Pepo; Watasema Kwa Lugha Mpya; Watashika nyoka; hata wakinywa kitu cha kufisha, hakitawadhuru kabisa; wataweka mikono yao juu ya wagonjwa, nao watapata afya.

 

Yohana 14:12-14

Amin, amin, nawaambia, Yeye aniaminiye Mimi, kazi nizifanyazo Mimi yeye naye atazifanya; naam, na kubwa kuliko hizi atafanya; kwa kuwa Mimi naenda kwa Baba Yangu. Nanyi mkiomba lolote kwa jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba atukuzwe ndani ya Mwana. Mkiomba neno lolote kwa jina langu, nitalifanya.

 

I Petro 2:24

Yeye mwenyewe alizichukua dhambi zetu katika mwili wake juu ya mti, tukiwa wafu kwa mambo ya dhambi, tuwe hai kwa mambo ya haki; na kwa kupigwa kwake mliponywa.

Fomu Ya Haja Ya Maombi


*Nafasi ya Kujaza