Wakatoliki wanaamini ya kwamba Mungu atauhukumu ulimwengu kulingana na mafundisho ya kanisa lao. Endapo Mungu atauhukumu ulimwengu kwa Kanisa Katoliki, basi vipi kuhusu Wabaptisti? Je! wamepotea? Vipi kuhusu Wahindu na Waislamu? Utamwamini nani kuhusu Wokovu wako wa Milele? Kanisa lako?