Biblia inasema, “Kwa hiyo imani chanzo chake ni kusikia, na kusikia huja kwa Neno la Mungu.” (Warumi 10:17). Kadiri unavyolisikia Neno, ndivyo utakavyozidi kuwa na imani. Mahubiri yafuatayo ni sehemu ndogo ya mamia tuliyo nayo .